Fupa la umeme kumchafua Dotto Biteko?

Kikubwa wananchi wanajua matatizo yalianza alipokalia mtu fulani kiti,,,, maana kabla wananchi walishasahau hizo shida,,, hii kitu haiwezi mchafua Biteko maana walioianzisha hii shida wanajulikana
 
Nyuso zimewashuka hawana cha kusema, maana mvua zinanyesha mpk milima inaporomoka lkn mgawo unaendelea. Dotto Biteko bure kabisa huyu.

Eti mwalimu wa primary anakuwa naibu waziri mkuu. Puaaa!



Kumbe ni Mwalimu ?

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kitu chochote kinachosimamiwa na Serikali hakiwezi kuwa na mafanikio kutokana na aina ya watu waliopo huko Serikalini. Ni kama serikali inawatafuta watu wenye uwezo duni kabisa kuwa viongozi.



Ni kweli sababu kuwa watu wanafaidika na udhaifu wao?!
 
Mwambie Kamba alete lile Crane la 26 tonnes, maana ndo linamkwamisha Biteko kufikia malengo,

Na mbaya zaidi, pesa ilishalipwa.

Siku ingine usimtaje huyo mhujumu Uchumi tena.
 
Hao wanaoungaunga ni shida pia.

Kupata ile mind transformation ya kutosha ni shida.

Tusidanganyane.
Hata vyeti vyenyewe kavipata kwa nguvu ya madaraka siyo nguvu ya akili. Hana kitu kichwani huyu Biteko
 
Kwa kalemani umehara
 
Hao wote uliowataja sio watanzania ni watoto wa mimba za nje ya Tanzania walipatikana kipindi cha kupigania sherehe za uhuru...Tuanze na Huyo Nape juzi jina limekatwa kwenye Majina ya watoto wa Mzee Nauye waliotakiwa kupata Miradhi......Hapo ushanipata.
 
January Makamba akiwa waziri wa nishati alionesha mikakati, mipango, dira na mbinu za kuondoa shida na kashda za umeme. Makamba alikuwa mkweli kwa kusema kuwa itachukuwa muda kulimaliza tatizo.
Matakle.
 
KUMBE ALIPEWA UNAIBU WAZIRI MKUU ILI KUONDOA TATIZO LA UMEME?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Anaweza kuchafuka sawa, lakini Makamba ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini. Baada ya kuonekana HAWEZI kulimaliza tatizo ndio akaondolewa. Mh. Dotto Biteko atakuwa "bangusilo"!
 
Mwalimu wa primary siyo bogus. Lkn hastahili hata kuwa waziri achilia mbali naibu waziri mkuu.

Kiingereza cha sheria za mikataba atakiweza kweli?
Sasa hapo ndio nimeamini kwamba kumbe ww ndio bogus na hakuna sababu yoyote ile ya kuendelea kuargue na ww maana tatizo limeshaonekana kwako tayari.Naamin na wengine wameshaliona
 
Kweli kabisa
 
Mkuu wacheza draft waliamua mchawi mpe mwana akuletee!
 
Mkuu tulia, uhuru na zamu ya kukandia ipo upande wao! Tulia kama hujikuni!

Maana mkuu kipindi Januari akiwa waziri na Chande akiwa mkurugenzi wa Tanesco walipopolewa sana hapa sogosoni sana na hukupinga wala kushauri jinsi unavyo shauri sasa.

Tulia wenzio nao wapumue!
 
Mkuu kumbe JPM alikuwa na tabia hiyo chafu??? Ama kweli bado tusubiri mtori uishe nyama ziko chini!!!
 
Biteko amelewa Cheo cha Naibu Waziri Mkuu. Huku Nishati Kapwaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…