Funzo kwa Tanzania? :kuondolewa kwa Director wa FBI James Comey

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,051
2,205
Kuondolewa kwa mkuu huyu wa FBI ndani ya nchi ya kidemokrasia kunaashiria kuwa kwa namna yoyote ile ni lazima wakuu hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe na political affiliation au wasipingane na uongozi wa kisiasa.

Leo hii watanzania tunawalilia sana TISS kwamba ni sehemu ya CCM au Magufuli.

Kwa yaliyotokea USA nina uhakika tunapewa fursa nyingine ya kujifunza kuhusu demokrasia.
 
Msigwa anasema nchi za kiafrica zinahitaji strong instution na sio strong people basi nikajua nchi kama USA inamifumo imara na mkuu wa taasi imara kama kama FBI Kuondolewa kizemba na mtu mmoja sikujua kuwa ni rahisi hivyi, sikujua kuwa katiba ya Usa inamadhaifu makubwa hivyo , huko tuendako trump atakuja kumtoa jaji mkuu tusubiri tuone
 
Ndio maana nasema kuna funzo kubwa sana la kujifunza kuhusu neno demokrasia na yanayojiri huko kwa wakubwa waliotuletea neno hili
 
governance , democracy and Human Rights is a myth to each society .

Briefly, I can say that there's no Clear Routine to implement any of the above mentioned concepts around the globe .

Remember any, Mr./Madam, President, is like 'God' wether you agree or not that's the fact. "His/ Her word is the last / or a law"

I w'l be back ... ... ...
 
Kwny Taasisi zote kitu cha kwanza ni Utii kwa Mtawala na Kama huwezi Achia ngazi otherwise unafukuzwa

Kwny Bunge la Katiba Mwanasheria Mkuu wa SMZ alijaribu kutaka kusaliti Msimamo wa SMZ akaenda na Maji!

Augustine Mrema alijaribu 1994 akaenda na Maji
 
Msigwa anasema nchi za kiafrica zinahitaji strong instution na sio strong people basi nikajua nchi kama USA inamifumo imara na mkuu wa taasi imara kama kama FBI Kuondolewa kizemba na mtu mmoja sikujua kuwa ni rahisi hivyi, sikujua kuwa katiba ya Usa inamadhaifu makubwa hivyo , huko tuendako trump atakuja kumtoa jaji mkuu tusubiri tuone
Institutions strong zinatokeaje bila actors? Hayo ni maneno tu...Wote kwa pamoja ndiyo wanatengeneza strong atable organizations...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndio maana nasema kuna funzo kubwa sana la kujifunza kuhusu neno demokrasia na yanayojiri huko kwa wakubwa waliotuletea neno hili

State Department kang'oa vigogo wote, mwanasheria mkuu msaidizi naye alipigwa chini haraka haraka baada ya kujidai anasimamia sheria.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Halafu tramp kapiga biti kawaambia hataki mtu amchunguze , na amemuondoa kwa kwa matakwa yake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuondolewa kwa mkuu huyu wa FBI ndani ya nchi ya kidemokrasia kunaashiria kuwa kwa namna yoyote ile ni lazima wakuu hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe na political affiliation au wasipingane na uongozi wa kisiasa.

Leo hii watanzania tunawalilia sana TISS kwamba ni sehemu ya CCM au Magufuli.

Kwa yaliyotokea USA nina uhakika tunapewa fursa nyingine ya kujifunza kuhusu demokrasia.

Mkuu hawa TISS nimekuwa nikiwasikia tu Watu humu na mitaani wanawataja lakini hadi leo sijui ni akina nani. Msaada tafadhali kama unawajua.
 
Afrika kuna demoghasia na demokrasia,ulaya na amerika kuna demobandia na demokrasia.
.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom