Marconho
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 287
- 445
Mnamo mwaka 1874, Richard Danyderly kama mmojawapo wa wajumbe wa Gereza kuu LA nchini marekani aligundua kuwa kulikuwa na wafungwa sita waliotokea familia moja, japo lile lilimshitua kidogo na akaamua kufanya utafiti kuhusu ndugu wale na aliwatambua kuwa ni vijana wa bwana mmoja aliyeitwa Marx Jux, aliyezaliwa mwaka 1720, yeye na mke wake wakiwa wametumikia gereza kwa awamu tofauti tofauti kwani mke yule alikuwa na tabia zinazofanana na Mme wake.
Wawili hawa walibahatika kuwa na watoto wa kike wanne na wakiume wawili, mjumbe huyu aliamua kufanya utafiti na watoto 1200 ambao ni matokeo ya vizazi vya bwana Marx jux na mkewe na watoto hawa walikuwa kama ifuatavyo:-
Asilimia 52.4-ya wasichana wote waliozaliwa kwenye vizazi vinne walikuwa ni makahaba.
310-ya watoto wote walikuwa purposeless and homeless.
300-walifariki kabla ya umri wa miaka thelathini.
180-walikuwa walevi waliokubuhu.
160-waliathirika kwa madawa ya kulevya.
150- walitumikia gereza kwa nyakati tofauti tofauti kwa jumla ya miaka 13.
67-walifariki kwa kaswende.
7-walifariki kwa kujinyonga.
Hiyo ni familia moja yenye mwisho kama tulivyoona sote.
Na kwa wakati huo huo pia aliamua kufanya utafiti kwenye familia ya bwana Thomas Jonathan aliyekuwa Rais wa chuo kikuu cha Preston na mtaalam wa elimu ya mungu (theologian), alikuwa na mke mmoja tu! Yeye na mke wake waliwalea watoto wao kwa misingi ya kumpendeza mungu na walijitahidi kuwa karibu zaidi na watoto wao hao 11.
Utafiti ulifanyika kwa jumla ya watoto 1400 kutoka kwa vizazi vya watoto wanne na waligundua yafuatayo:-
13- walikuwa marais wa vyuo vikuu.
66- walikuwa madaktari bingwa.
66-walikuwa maproffessor wa vyuo vikuu.
75-walifanya kazi kama wanajeshi wa kawaida na baadhi jeshi la Navy.
85-walikuwa waandishi maarufu wa vitabu na wauzaji.
100-walikuwa wanasheria, wakiwemo watatu ambao walikuwa majaji wa nchi kwa nyakati tofauti tofauti.
8- walikuwa viongozi wa uma wa ngazi za juu, akiwemo mhasibu mkuu wa nchi, magavana 3, maseneta 3 na makamu wa rais wa marekani wa enzi hizo wakati wa Thomas jefferson.
Wote hawa wakitoka familia moja.
Mjumbe huyu akamalizia kwa kusema:-
Nafasi ya baba katika familia huathiri hadi kizazi cha nne, hivyo!!!
Maamuzi yoyote tunayoyafanya sasa kama vijana tutambue wazi kuwa yataathiri hadi vizazi vyetu vya nne.
A father's influence goes up to the fourth generation after him, kazi kwetu akina baba.