Nowdays watu wengi sana wanatumia simu zenye android OS, na andoid kuna very funny apps, sasa tunaweza share humu ili atakaependa kudownload afanye hivyo, mfano wa hizo apps ni kama
mirror 4u- kwa ajili ya kujiangalia
call recorder- hiyo unaweza kuinstall kwa simu ya mpenz wako then ukaficha shortcut, inarecord sauti ya simu zote za in and out
kuna fan-(jipepee unaposikia joto)
kuna ile ya kufukuza mbu, hahahahah, inafaa kwa wanaoishi mabondeni
na nyingine nyingi, embu tupiamo tuone