Mimi Mbunge wangu ni Mh. John Mnyika, kwa kweli najisikia faraja sana kuwakilishwa naye.... Coz ana nia ya dhati kabisa na Taifa hili pia historia yake ni nzuri hata kabla hajawa MP.
Kila la kheri Brother,,,,,,
TUPO PAMOJA DAIMA.
___________________________________________
CHARITY BEGINS AT HOME.
Namshangaa huyo aliyemwambia kazi ya mnyika ni kumletea maji nyumbani kwake cjui nani?
Kwanza watu wa kimara tunapata maji mara 3 kwa wiki nwdays,....j4,alhamic na jmos...na niliambiwa hapo nyuma haikuwa hivyo
Mimi mbunge wangu ni mzee wa gari moshi la Dar hata jimboni kwake anakuja kwa machale, mji hauna hata standi ya mabasi wakati ni mji wa mpakani, sisi watu kata ya matema tumesahau kuwa na mbunge kwani umeme umepita njiani kwetu na cocoa zetu zimekatwa kwa ajili ya kupisha umeme lakini umeenda kwa wageni wa mji wenyeji chali, kokoa zetu zimeshushwa bei kwasababu na yeye ni mmoja wa wanunuzi, barabra ya mjini mpaka matema beach imejengwa 2km tu kiwango cha rami kwingineko ni majanga ili kutuzuga kuwa yupo kwenye harakati za ujenzi huku kila siku tunamuona kwenye tv akiongelea kuhusu Dar utadhani ni mbunge wa hapo,. Nawasilisha