Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,364
- 139,177
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
mimi sina mbunge
Wakuu,
Kama mwananchi wa TZ ninawakilishwa katika nyumba ya kutunga sheria na mbunge ambae alipata kura mingi kumtosha akatuwakilishe,cha ajabu ni analala,kawa bubu,haulizi swali wala hajibu lolote,hana hata ile kunyoosha mkono!
Najuta kuwakilishwa na jamaa. Jamaa anamiliki magari ya dar-moro yana rangi nyekundu.Ata kutaja jina naona uvivu..
Aya wakuu waliokula hasara kama mimi tufunguke!

nipo songea mbunge wangu nchimbi, muda si mrefu umeme unakatika
anasema Tanganyika iliungana na Zimbabwe
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
Mi wa kwangu muda wote ni kuunga mkono mia kwa mia kila hoja inayotoka serikalini, nadhani mnamfahamu vizuri.