Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Elezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana.
Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA.
1. Limited liability
Kampuni ni legal person na inajitegemea kutoka kwa Mmiliki wake, hivyo kwenye event kama ya kulipa mikopo Mali zako binafsi hazitauzwa kulipa madeni ya Kampuni.
2. Trust
Watu au taasisi kubwa huamini zaidi Kampuni kuliko biashara binafsi. Ukiwa na Kampuni ni rahisi kupata mikopo, tender kubwa au partnerships.
3. Urahisi wa kupata Mitaji
Ukiwa na Kampuni ni rahisi kupata Mitaji kwa kuuza hisa za Kampuni au kupata mikopo kwa jina la Kampuni.
4. Kuendelea kwa biashara hata Mmiliki akipoteza maisha.
Tumeona events nyingi ambazo biashara hufa pindi anapokufa Mmiliki, lakini Kampuni nyingi zinaweza ku survive bila uwepo wa Mmiliki.
5. Kushiriki tenda na mikataba ya serikali na taasisi za kimataifa.
Hey naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni na biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi 0678131068
Your Favorite Lawyer.
Ni kweli unatakiwa kujaza SDL na PAYEE kila mwezi, uzuri ni kwamba unaweza kujaza O na unaweza kujaza mwenyewe, hii haihitaji hata muhasibu.Elezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.
Kumbuka ukifungua kampun utatakiw kuw na muhasibu wa kampuni.
Kumbuka utatakiwa kuwa unajaza ma sdl na payee kila kabla ya tar 07 ya mwezi. Na hapo ukikosa kujaza penalty ni kufuru sana.
Sasa kwa mtu ambae anaanza kazi kipato kidogo, kuwa na kampun inatesa sana.
Kweli unaweza kulifa mwenyewe, ila kwenye swala lamuhasibu ni kipengele. Kufanya mahesabu ya kila mwaka ili ukadiliwe kodi kodi ni vipengele sana kwa mtu anaeanza biashara.Ni kweli unatakiwa kujaza SDL na PAYEE kila mwezi, uzuri ni kwamba unaweza kujaza O na unaweza kujaza mwenyewe, hii haihitaji hata muhasibu.
Hizo ni formalities za kawaida mkuu, lakini pia Kuna wahasibu wanafanya bei za kishkaji tuu, Cha muhimu salimia watu πKweli unaweza kulifa mwenyewe, ila kwenye swala lamuhasibu ni kipengele. Kufanya mahesabu ya kila mwaka ili ukadiliwe kodi kodi ni vipengele sana kwa mtu anaeanza biashara.
Nitumie text WhatsApp mkuuNataman kupata maelezo ya kutosha kuhusu trust π
Hili ndio jambo lilinifanya nighairishe kuanzisha kampuni badala yake nikaanzisha Business name.Elezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.
Kumbuka ukifungua kampun utatakiw kuw na muhasibu wa kampuni.6
Kumbuka utatakiwa kuwa unajaza ma sdl na payee kila kabla ya tar 07 ya mwezi. Na hapo ukikosa kujaza penalty ni kufuru sana.
Sasa kwa mtu ambae anaanza kazi kipato kidogo, kuwa na kampun inatesa sana.
Hii si inategemea kampuni yako imeajiri watu au haija ajiri watu, kama hauja ajiri watu hizi mambo za SDL,Nssf, paye hazipoElezea pia hasara zake kwa watu wenye mtaji mdogo.
Kumbuka ukifungua kampun utatakiw kuw na muhasibu wa kampuni.
Kumbuka utatakiwa kuwa unajaza ma sdl na payee kila kabla ya tar 07 ya mwezi. Na hapo ukikosa kujaza penalty ni kufuru sana.
Sasa kwa mtu ambae anaanza kazi kipato kidogo, kuwa na kampun inatesa sana.
Kwa hiyo inawezekana kuwa na kampuni isiyo na waajiriwa?Yaani kampuni iwe na Wakurugenzi tu na hamlipani mishahara?Hii si inategemea kampuni yako imeajiri watu au haija ajiri watu, kama hauja ajiri watu hizi mambo za SDL,Nssf, paye hazipo