Funga za Sunnah kwa Waislamu

Funga za Sunnah kwa Waislamu

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
4,890
Reaction score
8,211
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

Mods mada hii ni ya kutoa Elimu kwaio msiiunganishe na Ramadhan thread

Kwa nia njema Waislamu wenzangu tutakua tunakumbushana kuhusu funga hasa funga za Sunnah ambazo watu wengi wameghafilika nazo kwaio kama utakua na Elimu iliyosahihi basi tuhabarishane kuhusu funga za Sunnah kwani kule peponi kuna mlango unaitwa Raiyyan ambao wataingia wale wenye kufunga sanaa

Kwa siku ya leo tukumbushane kuhusu funga ya Ashuraa ambayo inapatikana katika mwezi mtukufu wa Muharram ndani ya tarehe 10

═════🍃🌹🍃═════

🔥UFAFANUZI WA FUNGA YA ASHURA & TASUAA🔥

💫ما حكم صيام يوم عاشوراء فقط؟ وهل الأفضل صيام اليوم الذي قبله أم الذي بعده أم يصومها جميعا؟

🌿SWALI

Ni ipi hukmu ya kufunga Ashuraa tu pekee..? Na jee kilicho bora ni kufunga siku ya kabla yake au baada yake azifunge zote.. ⁉

💫صيام يوم عاشوراء سنة؛ لما ثبت في الأحاديث الصحيحة عن رسول الله صلى الله عليه وسلم من الدلالة على ذلك، وأنه كان يوما تصومه اليهود لأن الله نجى فيه موسى وقومه وأهلك فرعون وقومه، فصامه نبينا محمد صلى الله عليه وسلم شكرا لله،

🌿JAWABU

❄Funga ya siku ya Ashuraa ni sunna kwa yale yalothibiti kwenye hadith sahihi kutoka kwa mtume صلى الله عليه وسلم kwa kujuulisha hilo, na kwamba ilikuwa ni siku wanayoifunga mayahudi kwa kuwa Allah amemuokoa ndani yake nabii Musa na watu wake na akamuangamiza FIRAUN na watu wake akaifunga mtume wetu صلى الله عليه وسلم kwa kumshukuru Allah.

💫وأمر بصيامه وشرع لنا أن نصوم يوما قبله أو يوما بعده، وصوم التاسع مع العاشر أفضل، وإن صام العاشر مع الحادي عشر كفى ذلك، لمخالفة اليهود،

❄Na akaamuru kufungwa kwake na akatuwekea sheria kufunga siku kabla yake au baada yake na kufunga siku ya tisa ( Tasua) pamoja na kumi ( Ashuraa) na ikiwa atafunga kumi na mwezi kumi na moja itamtosha hiyo kwa kule kwenda kinyume na mayahudi.

💫وإن صامهما جميعا مع العاشر فلا بأس؛ لما جاء في بعض الروايات: « صوموا يوما قبله ويوما بعده ». أما صومه وحده فيكره.

❄Na ikiwa atazifunga zote pamoja na mwezi kumi hakuna ubaya kwa yale yalokuja katika baadhi ya riwaya (( Fungeni siku kabla yake au siku baada yake)) Ama kufungwa kwake peke yake ni jambo lenye kuchukizwa.

📝 ترجمه : أبو عمير آدم بن خميس حفظه ورعاه.....

مجموع(15/403) للشيخ ابن باز رحمه الله تعالى...

📝 💦 TUUSOMENI UISLAMU WETU ILI TUWE NA YAKINI NA YALE TUNAYOYATENDA
•┈┈•┈┈•⊰✿📚✿⊱•┈┈•┈┈•

Ungana nasi Telegram kwa link hii upate faida: 👇🏽

Attachments

  • IMG-20250703-WA0050.jpg
    IMG-20250703-WA0050.jpg
    123.7 KB · Views: 14
🌺∙──༅༎﷽༎༅──∙🌺
🌹 ASSALAAM ALAYKUM 🌹

Amesimulia Abdullah bin Abbaas (r.a)

Code:
"Mara alipofunga Bwana Mtume ﷺ siku ya Aashuuraa na akaamrisha waislam wafunge, Maswahaba wakasema: Ewe Rasuulullaah! Hakika hii ni siku ambayo Mayahudi na Manaswara wanaiadhimisha. Basi Rasuulullaah ﷺ akawajibu:Pindi ukifika mwaka ujao InShaaAllaah, tutaanzia kufunga kuanzia mwezi tisa (ili tutofautiane nao) 
Ibun Abbas akasema: Basi Rasuulullaah hakuweza kuudiriki mwaka uliofuata mpaka akafariki Rasuulullaah ﷺ."

🌹 Nakutakia Jioni Njema 🌹
 
Attachments

  • IMG-20250704-WA0023.jpg
    IMG-20250704-WA0023.jpg
    84.3 KB · Views: 15
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

Mods mada hii ni ya kutoa Elimu kwaio msiiunganishe na Ramadhan thread

Kwa nia njema Waislamu wenzangu tutakua tunakumbushana kuhusu funga hasa funga za Sunnah ambazo watu wengi wameghafilika nazo kwaio kama utakua na Elimu iliyosahihi basi tuhabarishane kuhusu funga za Sunnah kwani kule peponi kuna mlango unaitwa Raiyyan ambao wataingia wale wenye kufunga sanaa

Kwa siku ya leo tukumbushane kuhusu funga ya Ashuraa ambayo inapatikana katika mwezi mtukufu wa Muharram ndani ya tarehe 10

═════🍃🌹🍃═════

🔥UFAFANUZI WA FUNGA YA ASHURA & TASUAA🔥

💫ما حكم صيام يوم عاشوراء فقط؟ وهل الأفضل صيام اليوم الذي قبله أم الذي بعده أم يصومها جميعا؟

🌿SWALI

Ni ipi hukmu ya kufunga Ashuraa tu pekee..? Na jee kilicho bora ni kufunga siku ya kabla yake au baada yake azifunge zote.. ⁉

💫صيام يوم عاشوراء سنة؛ لما ثبت في الأحاديث الصحيحة عن رسول الله صلى الله عليه وسلم من الدلالة على ذلك، وأنه كان يوما تصومه اليهود لأن الله نجى فيه موسى وقومه وأهلك فرعون وقومه، فصامه نبينا محمد صلى الله عليه وسلم شكرا لله،

🌿JAWABU

❄Funga ya siku ya Ashuraa ni sunna kwa yale yalothibiti kwenye hadith sahihi kutoka kwa mtume صلى الله عليه وسلم kwa kujuulisha hilo, na kwamba ilikuwa ni siku wanayoifunga mayahudi kwa kuwa Allah amemuokoa ndani yake nabii Musa na watu wake na akamuangamiza FIRAUN na watu wake akaifunga mtume wetu صلى الله عليه وسلم kwa kumshukuru Allah.

💫وأمر بصيامه وشرع لنا أن نصوم يوما قبله أو يوما بعده، وصوم التاسع مع العاشر أفضل، وإن صام العاشر مع الحادي عشر كفى ذلك، لمخالفة اليهود،

❄Na akaamuru kufungwa kwake na akatuwekea sheria kufunga siku kabla yake au baada yake na kufunga siku ya tisa ( Tasua) pamoja na kumi ( Ashuraa) na ikiwa atafunga kumi na mwezi kumi na moja itamtosha hiyo kwa kule kwenda kinyume na mayahudi.

💫وإن صامهما جميعا مع العاشر فلا بأس؛ لما جاء في بعض الروايات: « صوموا يوما قبله ويوما بعده ». أما صومه وحده فيكره.

❄Na ikiwa atazifunga zote pamoja na mwezi kumi hakuna ubaya kwa yale yalokuja katika baadhi ya riwaya (( Fungeni siku kabla yake au siku baada yake)) Ama kufungwa kwake peke yake ni jambo lenye kuchukizwa.

📝 ترجمه : أبو عمير آدم بن خميس حفظه ورعاه.....

مجموع(15/403) للشيخ ابن باز رحمه الله تعالى...

📝 💦 TUUSOMENI UISLAMU WETU ILI TUWE NA YAKINI NA YALE TUNAYOYATENDA
•┈┈•┈┈•⊰✿📚✿⊱•┈┈•┈┈•

Ungana nasi Telegram kwa link hii upate faida: 👇🏽

Wa'alaykum salaam warahmatullahi wabarakatuuh, Shukran Jazaakallahu khayran
 
Dah niggers mnavituko kiarabu broken cha kukariri na misijdah yenu miikuubwaa kama chapati kwenye paji zenu nyeusiii Tii.

Uumbwaaz
 
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa ...

Mwendo wangu kama huu chini 👇👇👇

إِذۡ جَعَلَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فِي قُلُوبِهِمُ ٱلۡحَمِيَّةَ حَمِيَّةَ ٱلۡجَٰهِلِيَّةِ فَأَنزَلَ ٱللَّهُ سَكِينَتَهُۥ عَلَىٰ رَسُولِهِۦ وَعَلَى ٱلۡمُؤۡمِنِينَ وَأَلۡزَمَهُمۡ كَلِمَةَ ٱلتَّقۡوَىٰ وَكَانُوٓاْ أَحَقَّ بِهَا وَأَهۡلَهَاۚ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٗا
 
Kwa wale wanaopenda kufunga sunnah kesho ni j3 utafunga sunnah ya j3 na kuanzia j4 mpka Alkhamis itakua funga ya masiku meupe
 
Attachments

  • IMG-20250706-WA0029.jpg
    IMG-20250706-WA0029.jpg
    215.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom