Funga Wiki

sosoliso mwanamke mtu mzima unamnunulia gari ya mtoto wa shule? Not fair to my standards!

Mh Safari_ni_Safari mbona unataka kuupalalisha mzigo..? Risasi ya tembo huwezi kumuulia sungura bana...

una akili sana wewe........!!!

Heee Paloma.. Ana akili gani sasa..? Wewe ci umeshaniambia unataka mtumbwi na picha yake umeshanitumia.. Na nimeshaanza mazungumzo na mzee Mbarouk Mwinyi Makame kwa ajili ya kunitengenezea huo mtumbwi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…