Pwilo Mimi nashauri huyo mtu wenu muandalieni menehiment yenye akili. Maana inatumika nguvu nyingi kumnadi hata kwa kutukana wengine.
Nashauri pia, wale wanaojiita team Kiba wabadili msimamo kutoka kuwa maadui wa Mondi na kuwa wapenzi wa Kiba.
Naamini wakibadilika hivyo watamsaidia Kiba kwa kuhudhuria show zake na kununua kazi zake. Huu upenzi feki wa kuandika tu hauna maana na wala hamumsaidii Kiba. Kuweni wapenzi wa Kiba.