Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 Dec 22, 2011 #1 Ingekuwa vipi kama tungejioganize na kujuana wapi pa kuweka vituo ili tukutane wana JF na kubadilishana mawazo. Mimi niko Manispaa ya Bukoba; kama kuna members tafadhali tufahamishane. Wengine mnasemaje?
Ingekuwa vipi kama tungejioganize na kujuana wapi pa kuweka vituo ili tukutane wana JF na kubadilishana mawazo. Mimi niko Manispaa ya Bukoba; kama kuna members tafadhali tufahamishane. Wengine mnasemaje?