Hometheater aina ya Sonny. Ni ndogo tu ya watt kati ya 300 _500. Ina muda zaidibya miaka mi3. Na haikuwah sumbua. Ila siku 2 hizi imenigomea. NIKIIWASHA INAISHIA KWENYE "HELLO" haimalizi na kuingia kwenyw kutoa sauti. Inaganda hapo hapo kwenye helow.
Naishi Dar es Salaam, mitaa ya Banana ukonga.
Naishi Dar es Salaam, mitaa ya Banana ukonga.