Muhtasari wa makadirio ya gharama za mifumo ya solar kati ya masaa 6 hadi 12 kwa watt 500 hadi 1000

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
827
1,000
MUHUTASARI WA TAARIFA YA GHARAMA ZA UFUNGAJI WA SOLAR POWER KWA MUJIBU WA TEKINOLOJIA YETU KATIKA MIFUMO YA GOLD,SILVER NA IRON.​
Mifumo hii ya solar imegawanywa katika makundi ya Gold,Silver na Iron.Mgawanyiko huu una akisi ubora wa matokeo ya mfumo husika.
Efficiency
Gold = 90%
Silver =70%
Iron = 50 %


Mifumo yote mitatu imewekwa katika nguvu tofauti kwa kipimo cha muda na nguvu inayozalishwa.
Gharama hizi zinaakisi mbinu na tekinlojia ya kampuni yetu katika kutengeneza mifumo hii,Hivyo zinaweza kuwa kubwa au kidogo kutokana na wataalamu wengine.

Makadilio haya ni ya nguvu ya Wattage 1000 na 500 kwa muda wa masaa 6 hadi 12.Gharama zinaweza kuongezeka ama kupungua kulingana na ongezeko la muda au wattage kwa makadilio mengineyo.


Kwa wale wanao hitaji kutengenezewa makadilio ya gharama ya mifumo tofauti tofauti ya solar kwa mahitaji yao wanaweza kuwasiliana na sisi kupitia namba ile pale juu.
Pia unaweza kujifunza namna mfumo wa makadilio ya muda wa matumizi ya nguvu iliyo hifadhiwa katika benk ya solar HAPA.
Tembelea blog yetu HAPA

MWANGILI ELECTRONICS SOLUTION​
Working Hours: Monday - Friday from 9:00a.m - 5:00p.m​
Saturday: 9:00a.m - 12:00 noon​
Ukonga,Along Pugu road​
Mobile: +255-657115587​
Email: datetz18@yahoo.com

1

SOLAR POWER SYSTEM ESTIMATION TO DELIVER 2000 WATT FOR 12HOURS ( GOLD PLAN )
GOLD PLAN = 20,000,000
SILVER PLAN =17,700,000
IRON PLAN = 15,200,000
2
SOLAR POWER SYSTEM ESTIMATION TO DELIVER 1000 WATT FOR 12HOURS ( GOLD PLAN )
GOLD PLAN = 11,600,000
SILVER PLAN =9,300,000
IRON PLAN = 8,100,000
3
SOLAR POWER SYSTEM ESTIMATION TO DELIVER 500 WATT FOR 12HOURS ( GOLD PLAN )
GOLD PLAN = 8,300,000
SILVER PLAN =6,000,000
IRON PLAN = 5,200,000
4
SOLAR POWER SYSTEM ESTIMATION TO DELIVER 2000 WATT FOR 6HOURS ( GOLD PLAN )
GOLD PLAN =11,600,000
SILVER PLAN =9,300,000
IRON PLAN = 8,100,000
,​
5
SOLAR POWER SYSTEM ESTIMATION TO DELIVER 1000 WATT FOR 6HOURS ( GOLD PLAN )
GOLD PLAN =8,300,000
SILVER PLAN =6,000,000
IRON PLAN = 5,200,000
6
SOLAR POWER SYSTEM ESTIMATION TO DELIVER 500 WATT FOR 6HOURS (GOLD PLAN)
GOLD PLAN = 6,800,000
SILVER PLAN =4,500,000
IRON PLAN = 3,700,000
IMPORTANT NOTES
1
Solar systems are guarantee 1 yr.
2
The above charge does not include apartment wire ring or transport of technicians and
equipment (its customers responsibility)
3
DO NOT HESITATE TO CONTACT US INCASE OF ANY QUERY. .
Your always welcome!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom