Fundi wa Samsung Galaxy S5 clone

Omwami Nshomile

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
132
Reaction score
28
Salute wakuu.

Kwanza nianze kwa kukiri kuwa kwa ushamba wangu niliuziwa clone ya S5 nikidhani ni orijino! Baada ya kugundua niliumia kwani nilipigwa pesa nyingi sana.

Nshakubaliana na matokeo.

Hii simu nimeitumia kwa muda sasa inaleta matatizo.

Ukiizima, wakati wa kuwasha unabonyeza kitufe cha kuwashia mpaka kidole kinauma. Inatumia almost 15 to 20 minutes kuwaka.
Je naweza kupata fundi wa kunirekebishia tatizo hilo?

Je kuna uwezekano wa kuweka new operating sysem kwenye simu za android asa hizi clone?

model number
GT-I9600.
 
Usiingie gharama kutengeneza feki utapata hasara zaidi.
 
msaada wakuu na mimi nina shida kidogo nina kasimu kangu aina ya Samsung note 3 kamekufa display kubadili na ufundi inaweza kunicost bei gani!!!!!!!maana kuna fundi m1 kaniambia bei nikastuka
 
nina galaxy s2 nipe hiyo nikupe hii ila uniongeze pesa maana yngu n orgnl nipgie 0714702720
 
Yap inawezekana mm nafanya kwa ishirini elfu, ila bahat mbaya kwako mimi ofisi ipo morogoro na mm nipo moro
 
Mimi nakupa pole tu kwa kutapeliwa, imeniuma kama mimi hivi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…