kamgisha rweyongeza
Member
- Oct 21, 2018
- 68
- 25
- Thread starter
- #21
Ni kwel ila pia bei zinatokana na banda inalo hitaji mkuuNashauri angetuwekea na bei kabisa ili tunapo chagua kwenye hizo picha inakua rahisi kukadiria hata bei
Ni kwel ila pia bei zinatokana na banda inalo hitaji mkuuNashauri angetuwekea na bei kabisa ili tunapo chagua kwenye hizo picha inakua rahisi kukadiria hata bei
Ni kwel mkuu najifunza ntafany ivo asante kwa ushaur mkuuKamgisha vipi bana, mbona nshomile wanakuwaga wajanja wajanja, rekebisha tangazo kaka.
Nafanya c najaribuKazi nzuri picha tu inaonesha wewe ni mkali sana wa kutengeneza mabanda kwa hizo picha tanzania hii hakuna anayekushinda
ThnxRoho mbaya haijengi mkuu...
Ebu chagua banda hapo tumuunge mwana jf mwenzetu..![]()
Picha zipo hyo n mssitzo tu chief tangazp lang la kwanza chek hapoRoho mbaya haijengi mkuu...
Ebu chagua banda hapo tumuunge mwana jf mwenzetu..![]()
Hongera sana mkuuNiko kibaha mkuu waweza kuja cuz mm n mfugaji na ni fundi hayo ni yangu
Asante kwa kejel your gd ila npe kaz uone kipaj changTatizo lako mkuu Una mabanda mazuri Sana alafu bei yako ndogo Sana, Yani kama Hilo Banda la Bata uliloweka madirisha ya Aluminium pamoja na uzuri wote huo eti unajenga Kwa laki 2, ongeza bei kidogo
Asante umenshtua narekebisha umenisaidia saan mkuu b blessed i will do the bstKamgisha vipi bana, mbona nshomile wanakuwaga wajanja wajanja, rekebisha tangazo kaka.
Tatizo lako mkuu Una mabanda mazuri Sana alafu bei yako ndogo Sana, Yani kama Hilo Banda la Bata uliloweka madirisha ya Aluminium pamoja na uzuri wote huo eti unajenga Kwa laki 2, ongeza bei kidogo






Nimetoa namba za smu hapo ukihitaji nichekMfano hili bei gani
Wateja wa kibaha pwani na dar es salaam mkuu karbMkoa gani?
Asa mbona umeweka picha za babanda ya zamanSiphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
Kibaha sehemu gani unapatikana?Niko kibaha mkuu waweza kuja cuz mm n mfugaji na ni fundi hayo ni yangu
Kibaha kwa mfipaKibaha sehemu gani unapatikana?
Nichek whatsaap ntakupa detailzNimetoa namba za smu hapo ukihitaji nichek