Fundi wa mabanda bora ya mifugo

Fundi wa mabanda bora ya mifugo

Joined
Oct 21, 2018
Posts
68
Reaction score
25
Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku na ng'ombe na nguruwe ukihataji kujengewa banda lolote la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
IMG_20220329_171139_224.jpg
IMG-20220329-WA0021.jpg
IMG_20220325_140841_243.jpg
20220325_134857_HDR.jpg
 
Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
Upo vizuri sana mkuu, maana hata picha inaonyesha hilo banda la sungura limetulia sana na umelipaka rangi ya kuvutia. Sema hapo chini ungepaka rangi nyeusi kama scuttling...🙂
 
Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
Hilo banda la kwanza hapo juu hizo mbao ulotumia vipi haziliwi na mchwa?
 
Upo vizuri sana mkuu, maana hata picha inaonyesha hilo banda la sungura limetulia sana na umelipaka rangi ya kuvutia. Sema hapo chini ungepaka rangi nyeusi kama scuttling...
Kweli kabisa mkuu,Mimi nimelipenda Hilo Banda la ng'ombe hapo kulia yaani Hilo bati la msauzi alilolitumia limependezesha Banda Sana.Yuko vzr.
 
Tatizo lako mkuu Una mabanda mazuri Sana alafu bei yako ndogo Sana, Yani kama Hilo Banda la Bata uliloweka madirisha ya Aluminium pamoja na uzuri wote huo eti unajenga Kwa laki 2, ongeza bei kidogo
 
Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Napatikana kwa wakazi wa kibaha na dar es salaam. Pata mabando bora ya sungura,kuku,nguruwe,ng'ombe na mengne meng
Siphael J.
Simu 0714168798
IMG-20220329-WA0021.jpg
IMG-20220328-WA0001.jpg
IMG_20220325_140841_243.jpg
IMG_20220325_140841_264.jpg
20220325_135145_HDR.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom