Fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa

Nock

Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
45
Reaction score
23
Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania.

Habari ndugu, jamaa na marafiki...!!

Naitwa Enock, napatikana Mbezi Louis(Mbezi ya Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa za aina tofauti tofauti kwa bei nafuu kabisa. Napokea oda kwa mtu yeyote atakayehitaji huduma ya sofa.

Kwa sofa moja la watu wawili bei yake ni kuanzia 230,000/= na kuendelea kulingana na aina ya jutambaa ba muundo pia.... na seti ni kuanzia 600,000/= na kuendelea.

Tunatengeneza pia vitanda vya sofa kwa;

5 kwa 6 = 450,000/= na
6 kwa 6 = 550,000/=


Napatikana kwa;

Call/Text/WhatsApp 0652874876.

Instagram; iam_nock_

Facebook; Nock

KARIBUNI SANA SANA...!!









 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…