Fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa

Nock

Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
45
Reaction score
23
Habari wakuu!!

Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa.

Bei za sofa:

Love seat 200,000/= - 250,000/= kulingana na kitambaa
Set ya watu 5 ni 600,000/= - 750,000/= kulingana na kitambaa pia
Set ya watu 7 ni 800,000/= - 900,000/= nayo kulingana na kitambaa pia.

Napatikana kwa namba 0652874876.

Facebook:
Nock

Instagram: iam_nock_

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…