Fundi wa kushona nguo za kike

Fundi wa kushona nguo za kike

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
naomba kama unamfahamu fundi cherehan(mshonaji)mzuriwa nguo za kina dada uniambie,niko arusha town maeneo ya stand hivi ili nisiende mbaaali!
 
Ommy katanga wa efm Enzi zake alikuwa mtaalamu balaa wa kushona nguo za kina dada pale tgt hebu mcheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom