Habari wadau,kwa yeyote anayehitaji fundi wa kupaka rangi nyumba,chumba,fremu au godaoni au jengo lolote,bei maelewano,
Fundi yupo maeneo ya mwananyamala/Kinondoni
simu namba 0652127628

haya mkuu ukifanikiwa 10% ulete JF kusaidia mtadao wetu kudumu zaidi
na sisi wa madongo kuinama huku porini tunajipanga tukirudi likizo nasi tuchangie JF