moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 170
Na pata tabu kuchaji simu yangu iPhone 6s sehemu ya kuchajia imetanuka msaada wakuu
Ni kweli nilienda pale nikakuta pamefungwa, shukran
Ngoja nkutafutie # ya fundi zake nkutumie hao ndy wako vzuri kwenye iPhoneNi kweli nilienda pale nikakuta pamefungwa, shukran
Naku pm #Ni kweli nilienda pale nikakuta pamefungwa, shukran
Na mimi mkuuNaku pm #
Ova
Ni kweli nilienda pale nikakuta pamefungwa, shukran[/QUO
Braza hyo Libya mji ganiKuna mhindi mmoja anaitwa muna ila kwa sasa anaunwa sana Yuko Nje ya nchi...
Ila Nenda mtaa wa libya Karibu n'a autorover kuna mafundi wake wanaendeleza kazi zake hao kwa sim Kali na zenye brand wako Vizuri
Ova
Nipo singida machinjioni mkuuMbona iphone ndio simu rahisi zaidi kutengeneza
Kwani mkuu uko wapi