Fundi wa Hard Disk Anahitajika

Fundi wa Hard Disk Anahitajika

CityInfo

Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
11
Reaction score
4
Kuna HDD ya Desktop computer imekataa kusoma a.k.a ipo kama imekufa vile hakuna signal yeyote

Nimefanya troubleshooting za kawaida [badilisha cables, kuweka kwenye computer nyingine, kuweka kwenye external drive adapter, n.k] lakini ime fail.

Baada ya kucheki ndani inaonekana PCB itakuwa na issue.

Natafuta fundi either wa ku repair au ku install new PCB
 
Hapo kuna vitu vitatu vinaweza kua problem, circuit board/printed circuit board inaweza kua tatizo or disk ya ndani, na kuna jicho hua linasoma hiyo disk ya ndani, but kama haiwashi taa yoyote na wala hausikii mngurumo kwa ndani tatizo litakua motherboard power problem na zote zinarekebishika. Ushauri.. Kama hiyo hdd ni ndogo i mean storage capacity ni ndogo na hauna data za msingi humo ndani nakushauri ununue hdd nyingine kwani kwa sasa bei yake ni ndogo
 
Sawa mkuu. Fundi mmoja hapa kitaa kasema issue ni PCB board channel ya umeme imeharibika. Nahitaji data chache muhimu zilizopo, hivyo kununua mpya sio solution ya hili tatizo. Kwa upande wa ndani zaidi kama vile Platter na Kale ka mshale ka kusoma data sidhani kama vina issue. asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom