Fundi wa gps track in Dar es salaam

Fundi wa gps track in Dar es salaam

Joined
Apr 29, 2016
Posts
73
Reaction score
79
Piga 0746373222.....Je, unamiliki gari,pikipiki au bajaji(chombo cha moto)?

Je,unataka kukilinda na kukifatilia chombo chako popote kinapokwenda?

Je,Umechoka kupewa taarifa za uwongo na dereva wako kuhusu chombo chako cha moto?

Tupigie ☎️0746373222 tukuambie namna ya Kutumia Gps tracker unaweza kufahamu yote kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Utaweza kuona speed ya chombo chako kinavotembea barabarani kila siku.

Unaweza kuona kila mtaa ambao chombo chako kimekwenda.

Unaweza kuona taarifa kila wakati chombo chako kinapokua kimezimwa au kinawashwa.

Unaweza kuzima chombo chako kwa kutumia simu hata kama haupo eneo la tukio( hata km upo mbali au nje ya mkoa/nchi).

Wasiliana nasi call/whatsapp 0746373222.
Tupo Dar es salaam,mwanza na mikoani pia.
Facebook page: Gordon Technology
 
Oy hivi yale malipo huwa ni kwa kila mwezi au ukishalipa ndo basi tena?
 
Oy hivi yale malipo huwa ni kwa kila mwezi au ukishalipa ndo basi tena?
Yategemea na utaratibu wa kampuni itakayokupa huduma ya Gps... kwa mfano wengine wanachaji kila mwaka kiasi fulan lakini kwa mwaka wa kwanza hua ni free...... pia yapo makampuni yanachaji kila mwezi.

Sisi tunafanya free mwaka mzima ..then baad ya hapo ndio kuna asilimia kdg utakua ulipa kila baada ya mwaka kwa ajili ya ku update system.
 
Ok
 
Bei hutofautiana na sehem inapoenda kufungwa km ni pikipik,gari au bajaji...mfano pikipiki ni 150,000 na utaweza kuzima pikipiki kwa kutumia simu hata km haupo nayo pikipiki au imepelekwa nje ya wilaya au mkoa(cut off engine/electricity).
 
Asee hiyo 150000 Huwa ni jumla au baada ya muda unawarudia providers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom