Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Sep 8, 2013 #1 Wajumbe, natafuta fundi wa kutengeneza (Kurepare ) blood pressure machine ya digital.
alpha1 JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 260 Reaction score 153 Sep 9, 2013 #2 Kaitaba said: Wajumbe, natafuta fundi wa kutengeneza (Kurepare ) blood pressure machine ya digital. Click to expand... Nakushauri uweke kwenye uzi: aina, model na tatizo la hiyo digital BP Monitor yako ili iwe rahisi kwa mtu yeyote mwenye uzoefu nayo kukusaidia.
Kaitaba said: Wajumbe, natafuta fundi wa kutengeneza (Kurepare ) blood pressure machine ya digital. Click to expand... Nakushauri uweke kwenye uzi: aina, model na tatizo la hiyo digital BP Monitor yako ili iwe rahisi kwa mtu yeyote mwenye uzoefu nayo kukusaidia.
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Sep 9, 2013 #3 piga namba hii mkuu huyu jamaa anaweza kukusaidia 0715 364619