Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
jaribu kueheshimu kazi za watu kama umekuja ofisini kuhitaji kifaa na ukakosa isiwe ni sababu ya wewe kutoa maneno mabovu kiasi hicho ujaribu kua mstarabu kama tungelikua wezi tusingekua na ofisi jesheshimu uheshimiwemwizi kabisa huyu msijaribu,,jamaaa hana ufundi wowote..anabangaiza kazi..hajui kitu..mi kanitoa mbezi hadi magomeni...kwenda namkuta jamaaa hana kitu yani..pipooooo jamaaaaa asikupotezeee muda wako.
ganyike TAPELI HUYUUUUUUUU kama hamuamini mtafuteniWewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot
kumbe ndiko jf inakotupeleka! nimependa ulivyofukua makaburi!Wewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot
mwizi kabisa huyu msijaribu,,jamaaa hana ufundi wowote..anabangaiza kazi..hajui kitu..mi kanitoa mbezi hadi magomeni...kwenda namkuta jamaaa hana kitu yani..pipooooo jamaaaaa asikupotezeee muda wako.
*Lugha gongana tuambie alikuja kutafuta kifaa au kuomba kazi?Sema ulichokifuata hapo ofisini na kisha hukufanikiwa kupata. Sisi ndo tutapima kama ni tapeli ama laa.
*Lugha gongana tuambie alikuja kutafuta kifaa au kuomba kazi?
Umesema alikuja kutafuta kifaa akakosa.. Tena unaandika alikuja kuomba kazi akakosa..mhWewe ulikuja ofisini kuomba nafasi ya kujishughulisha tukakwambia hakuna nafasi hiyo na sisi wenyewe hatutoshi tupo wengi na ukitaka kuthibitisha kua alikuja kutafuta kazi soma hiyo creen shot