FUNDI UMEME MWAMINIFU
Member
- Sep 26, 2017
- 7
- 2
Nafanya wiring ya umeme katika majumba. jamani nipeni dili hizo
0621058954
0621058954
Asante mkuu kwa ushauri wako, hapa kwangu naona fundi kapitisha waya za ac na dc katika bomba mojaOk hapo kwenye switch inawezekana ila nomba moja kwa dc na ac haiwezekani. patatokea ukinzani tu mwisho utaaribu sola. Ac ni umeme wa tanesco. Dc ni umeme unaozalishwa na betri. Umeme wa ac unatabia ya kuambukiza waya usio na umeme wa ac.
Umesajiliwa EWURA?Wadau Masada- natafuta kazi ya ufundi umeme. Kufanya wiring(wayaringi ya umeme) katika majumba. Pia hata kama kuna kampuni inahitaji fundi umeme basi naombeni msaada.
UZOEFU WANGU
1-wiring installation. Miaka 3
2-HT&LV contraction and maintenance 33&66kv. Miaka 2
ELIMU
form IV
TAALUMA
Ufundi umeme
Cheti-veta level two.
OTHER SKILLS
-computer skills
Ina maana hiyo mikoa ya pwani unaishi huko kote kila mkoa unaishi?nipo mikoa wa pwani