Fundi umeme wa magari na diagnosis

Fundi umeme wa magari na diagnosis

Iskelvin

New Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu wakubwa' majina naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka 28 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis za magari' tangu najifunza mpaka sasa nimefuzu Nina miaka9 kwenye fani' bado sijafikia kimtaji kufungua ofisi yangu' nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote inayoajili mafundi aniunganishe ' namba zangu za simu ni 0629177983
 
Back
Top Bottom