Bwashee Machui
Member
- Jan 2, 2019
- 65
- 79
πͺπ¦Ίπ¨βοΈπͺπ¦Ί
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro
πͺπ¦Ί Shebwa Masonry Contractor πͺπ¦Ί
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.
Kwa Nini Utuchague?
πͺ. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
πͺ. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
πͺ. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
πͺ. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango
Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
π¨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.
βοΈ. Uwekaji wa Paa (Roofing):
π¨. Mafundi na Usimamizi wa kazi (Site forman) kwa uaminifu mkubwa
π¨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.
βοΈ. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.
βοΈ. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin
π¨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma
Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.ππ»ππ»ππ»ππ»