Anahitajika ajili ya kurekebisha TV tatu; mbili sumsung na moja panasonic. Mbili zinahitaji card mpya na nyingine vifaa kadhaa kuipa uwezo wa ku boot. Alipatikana fundi lakini inaonekana wengi ni matapeli kwani aliingia mitini na pesa za kununulia vifaa; ni zaidi ya siku kumi sasa yuko kwenye msib huu mara huu mara ule. Hapa jambini naamini kuna watu wa uhakika. Ni pm au 0754 84 33 88 siku za kazi.TV ziko nyumbani Tabata Dar