pole sana
zipo hapa Dar universal LCD/Plasma power supplies ambazo unaweza ifunga mpaka kwenye 42 inch TV screens.Pia ya kwako inaweza tengenezwa ila inategemea imekufa component zipi,ukweli wengi wanaojiita mafundi hapa Tanzania ni wabadilisha Fuse tu kazi awaziwezi.
kama upo Dar ni Pm nikupe jina la fundi ambae 100% can help you