Fundi simu wa huawei tablet unahitajika

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,450
Reaction score
6,211
Wakuu habari za mida hii?
Bila kuwachosha nina simu yangu aina ya Huawei ni Tablet inatatizo la spika pamoja na vitufe vya kuzimia na kuongezea sauti vimetoka.

Fundi mzuri asiyekuwa mbabaishaji ambaye anaweza tengeneza na asiwe na ahadi za njoo kesho mara keshokutwa nataka awe muwazi mimi niko Dar hiyo hapo
 
Masharti yako sasa maana fundi aweza kuwepo Arusha au Mbeya utafanyaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…