Mm hiyo simu kuna fundi aliniletea alisema kila tachi ambayo walikua wakiweka ilikua haifanyi kazi.Nataka nijue tatizo lilikuwa lipi?
Uko vizuri mkuu kwa kazi ya hardware.. HongeraMm hiyo simu kuna fundi aliniletea alisema kila tachi ambayo walikua wakiweka ilikua haifanyi kazi.
Mm ni mtu wa kokamaa sana nikaanza kucheza na vipimo na nikagundua njia za tachi zimetokea kwenye hiyo ic nikajaribu kubadilisha hiyo ic kutoka kwenye simu ambayo ilikua na tatizo ya kujiminya batani yenyewe nilipo ihamishia hiyo ic nikashangaa lile tatizo la kujiminya batani limehamia kwenye hiyo simu ambayo ilikuwa inasumbua tachi na kwenye ile simu ambayo ilikua inajiminya batani nikakuta inafanya kazi vizuri kwahiyo nikagundua tatizo huwa linakuwa ni kwenye ic ya touch.
Nilicho fanya hapo simu zote mbili nikang'oa ic za touch na zote matatizo yake yakawa yamekwishwa.
Hongera hapo nimekuelewa, nilidhani ina tatizo kama kimeo changu nilichokiweka ndaniMm hiyo simu kuna fundi aliniletea alisema kila tachi ambayo walikua wakiweka ilikua haifanyi kazi.
Mm ni mtu wa kokamaa sana nikaanza kucheza na vipimo na nikagundua njia za tachi zimetokea kwenye hiyo ic nikajaribu kubadilisha hiyo ic kutoka kwenye simu ambayo ilikua na tatizo ya kujiminya batani yenyewe nilipo ihamishia hiyo ic nikashangaa lile tatizo la kujiminya batani limehamia kwenye hiyo simu ambayo ilikuwa inasumbua tachi na kwenye ile simu ambayo ilikua inajiminya batani nikakuta inafanya kazi vizuri kwahiyo nikagundua tatizo huwa linakuwa ni kwenye ic ya touch.
Nilicho fanya hapo simu zote mbili nikang'oa ic za touch na zote matatizo yake yakawa yamekwishwa.
Ina tatizo gani?Hongera hapo nimekuelewa, nilidhani ina tatizo kama kimeo changu nilichokiweka ndani
Mkuu unapatikana wapi, Nna simu zangu nataka kuzifufuaMm hiyo simu kuna fundi aliniletea alisema kila tachi ambayo walikua wakiweka ilikua haifanyi kazi.
Mm ni mtu wa kokamaa sana nikaanza kucheza na vipimo na nikagundua njia za tachi zimetokea kwenye hiyo ic nikajaribu kubadilisha hiyo ic kutoka kwenye simu ambayo ilikua na tatizo ya kujiminya batani yenyewe nilipo ihamishia hiyo ic nikashangaa lile tatizo la kujiminya batani limehamia kwenye hiyo simu ambayo ilikuwa inasumbua tachi na kwenye ile simu ambayo ilikua inajiminya batani nikakuta inafanya kazi vizuri kwahiyo nikagundua tatizo huwa linakuwa ni kwenye ic ya touch.
Nilicho fanya hapo simu zote mbili nikang'oa ic za touch na zote matatizo yake yakawa yamekwishwa.
Dah. Mkuu shukrani sana ingawa umepata solution wakat simu ndo zinapotea kitaani, kwa kweli hilo tatzo limenitesa sana miye na mara nyingi nilikuwa nawaambia wateja wanunue simu nyingine hiyo ndo kushnei, sasa mpaka hapa shukran kwa ugunduzi wako.
Hilo tatizo limekuwa sugu kwa muda mrefu sana na mafundi wengi wameumiza vichwa bila majibu.
mafundi wengi tulikata tamaa tukajua hilo huenda tatizo halitengenezeki. lakini kwa sababu akili za binadamu zinakuwa kila siku leo nimejitahidi nimeipata hiyo solution.
Ila mara nyingi huwa nahuzunika solution nyingi huwa zinapatikana wakati simu hiyo inaelekea kupotea mtaani.
Haijawaka hadi leo hii, ilizima yenyewe. Yaani kuscreen off na kuiweka mfukoni ikawa kwaheriIna tatizo gani?
NiPM namba yako ya WhatsAppHaijawaka hadi leo hii, ilizima yenyewe. Yaani kuscreen off na kuiweka mfukoni ikawa kwaheri
Ni pm namba yako. Ndugu
Hilo tatizo limekuwa sugu kwa muda mrefu sana na mafundi wengi wameumiza vichwa bila majibu.
mafundi wengi tulikata tamaa tukajua hilo huenda tatizo halitengenezeki. lakini kwa sababu akili za binadamu zinakuwa kila siku leo nimejitahidi nimeipata hiyo solution.
Ila mara nyingi huwa nahuzunika solution nyingi huwa zinapatikana wakati simu hiyo inaelekea kupotea mtaani.
ThetopNi pm namba yako. Ndugu
Hakuna Nokia Lumia 3200Nina Nokia Lumia 3200 imepasua mafumdi vichwa, ilikata Network ghafla, pia ikaleta Airplane mode,na haitoki , baadae nikaizima,kuna kuwasha haitaki mpaka u hold volume down na power ndio inawaka,mafundi inawapelekesha mno(wa software alichemka anasema ni hardware), hardware nae anaumiza ndonga bila majibu
Nina meizu m5 imepasuka kioo mkuu unaweza itengeneza