Fundi simu Dar Es Salaam

Fundi simu Dar Es Salaam

Mkuu nahitaji kuweka kioo cha Samsung A5, bei ni sh ngap?
Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (batr ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu yako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Ata ukiwa mkoani waweza ituma cm ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam ntaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia cm yako bada ya marekebisho

Maswali naushauri nibure .

Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote

Piga simu au whatsapp mesej
+255744778873
+255675314966View attachment 1121360View attachment 1121361
 
Habari? Ndio inabidi niichek kwanza maana ipad sio rahs speaker kuaribika kwenda labda ni settings na kama kweli zimekufa habo tutarekebisha
Niaje mzee kwema za masiku
Mzee wa Tila lila hapa ile Samsung j2 uliyoirekebisha display na kutoa lock mpaka leo iko poa baba mkwe nliamua kumletea figisu sikumpaaa nlimwambiaaa simu haiwezi pona a kaingiaa kingi....
Ntakuibukia siku moja pande zako tupige toli

Ova
 
Tuelewane hapa hapa ndio nilete simu,nina note 8,kioo cha juu tu ndio kina kreki nataka kubadilisha,nipe gharama,pia nina sony xperia xa ultra, kioo kilikufa,cost zikoje kwa kioo original?
 
Mkuu mrangi, huyo mwana unaweza kum-recommend kwa mtu bila ya hofu?! Moja ya hofu yangu kwa mafundi wa simu na laptop, ni kwamba, wengi wao ni wajuzi sana katika kufungua lakini linapokuja suala la kufunga, yaani mtu hata ukiwa umbali wa meta 1, unajua kabisa ile simu imeshapigwa screw na mabisibisi, na kinachofuata hapo ni ma-rubber band!
 
Tuelewane hapa hapa ndio nilete simu,nina note 8,kioo cha juu tu ndio kina kreki nataka kubadilisha,nipe gharama,pia nina sony xperia xa ultra, kioo kilikufa,cost zikoje kwa kioo original?
Chifu, ulipata suluhu ya hilo tatizo lako?! Natafuta fundi anayeeleweka manake dah, kuna fundi nilimpata hapa JF anajifanya fundi wa Laptop, yaani hata hamu nae sina!!!

Jamaa aliifungua vizuri, kuja kuifunga sasa!!! Manake mafundi wengine wakishafungua tu simu yako, basi jiandae kuifunga kwa rubber bands!
 
Mkuu mrangi, huyo mwana unaweza kum-recommend kwa mtu bila ya hofu?! Moja ya hofu yangu kwa mafundi wa simu na laptop, ni kwamba, wengi wao ni wajuzi sana katika kufungua lakini linapokuja suala la kufunga, yaani mtu hata ukiwa umbali wa meta 1, unajua kabisa ile simu imeshapigwa screw na mabisibisi, na kinachofuata hapo ni ma-rubber band!
Huyu jamaa yuko poa
Alafu Hna longolongo
Ksema ukweli

Ova
 
Note 4 yangu kioo kimekufa haioneshi kitu,naweza pata kwa sh.ngp kwako?

Habari ? Kioo cha NOTE 4 dukani kinauzwa Tsh 170.000 (laki moja na elfu sabini?
Ufundi Tsh 15000. Karibu
 
Fundi Nina simu yangu iPhone x inaganda ila mda mwingine inafanya kazi, ntakupataje
 
Dah! tangazo liko serious kwekweli yaelekea unauwezo wa kupata hata simu iliyopotea.
 
Fundi Nina simu yangu iPhone x inaganda ila mda mwingine inafanya kazi, ntakupataje

Sorry kwa kutokujibu mapema! Ebu nipigie kwenye namba nilizoweka hapo chini ya tangazo unieleze vizuri shida ya simu yako! Maana kuganda kwa simu kuna sababu nyingi! Kwenda labda inaganda upande wa Screen touch, au software ya inadai kuflash NK...
 
Nina samsung A20 dogo aliweka maji kioo ilawa inazima na kuwaka na display haifanyi kazi nikapeleka kwa funzi akaweka software upya na kusafisha lkn tatizo la display kutofanya kazi halikupona nikaambiwa ninunue kioo kingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom