Fundi simu Dar Es Salaam

Fundi simu Dar Es Salaam

IKB

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
75
Reaction score
29
Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi ,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (batr ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu yako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Ata ukiwa mkoani waweza ituma cm ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam ntaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia cm yako bada ya marekebisho

Maswali naushauri nibure .

Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote

Piga simu au whatsapp mesej
+255744778873
+255659778873
IMG_20190607_173842_401.jpeg
IMG_20190606_124830_858.jpeg
 
Sawa mimi nina SAMSUNG A8 2015.
shida ni kuwa kilivunjika na kupotea kibati cha kupachikia line kwa hiyo hapa nahitaji kibati kingine. Sihitaji njia ya kuchomeka line bila kibati.

Pili ninahitaji kubadili betri yake.

leta ushauri hapa ndugu fundi Simu.
 
Yani unataka trey ya lain
Bei ya trey ni 15000
Na bey batr org ni 50000
Na betr lakawaida 15000 na 25000 lyenye na fuu
images~2.jpeg
 
Shukrani sana Fundi IKB
Sasa betri org la 50,000 , lenye unafuu la 25,000 na la 15,000 yanatofauti gan maana nisijelizwa.

kwako IKB
 
Shukrani sana Fundi IKB
Sasa betri org la 50,000 , lenye unafuu la 25,000 na la 15,000 yanatofauti gan maana nisijelizwa.

kwako IKB
Org 50000 uakika na pia unapewa gerenti endapo litakusumbua unapewa lingine
Aya mengine hayana gerenti wala waranti
Batr la 25 kidogo linakaa na chaj
 
Nna katecno kangu ukiwasha kanaishia pale kwenye experience smart life hata kwa masaa 10.

Unaweza kutatua hiyo shida? Kwa pesa ngapi?
 
Mkuu battery ya iPhone 6 original ni shilingi ngapi pamoja na kuiweka, Kioo cha Samsung Galxy J6+ unakiuzaje
 
Nina Samsung A7 2017 kioo hakijapasuka ila imevilia rangi ya pink kwa ndani na inaenea kidogokidogo. Gharama yake ni bei gani matengenezo pamoja na vifaa?
 
Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (batr ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu yako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Ata ukiwa mkoani waweza ituma cm ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam ntaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia cm yako bada ya marekebisho

Maswali naushauri nibure .

Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote

Piga simu au whatsapp mesej
+255744778873
+255675314966View attachment 1121360View attachment 1121361
Nina Ipad II imeacha kutoa sauti. Unaweza kuirekebisha? Na makadirio ya gharama za kuitengeneza kama jibu inawezekana.
 
Nina Ipad II imeacha kutoa sauti. Unaweza kuirekebisha? Na makadirio ya gharama za kuitengeneza kama jibu inawezekana.
Habari? Ndio inabidi niichek kwanza maana ipad sio rahs speaker kuaribika kwenda labda ni settings na kama kweli zimekufa habo tutarekebisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom