Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Mnajihakikishiaje cm inayokuwa flashed co Ya wizi, Au Kwa kuwa unaletewa hela Basi co ishu
 
Mnajihakikishiaje cm inayokuwa flashed co Ya wizi, Au Kwa kuwa unaletewa hela Basi co ishu
kiukweli simu huflashiwa tu, ukimuuliza maswali memngi si atasepa. wewe ukipeleka hela bank huwa wanauliza umeiba au umepata wapi? wanapokea na kuweka tu. the same applies
 
Fundi, simu yangu aina ya samsung note 2 N7100. Niliingia nayo kwenye sweeming pool bila kujua. Nilifanya juhudi ya kuikausha, siku ya pili ilianza kuwaka lakini screen ikawa haionyeshi kitu. Nikaipeleka kwa fundi ili waisafishe fundi akasema simu imekufa, eti haifai tena. Naomba kujua kama unaweza kuirudisha maishani tena.
 

possibility ya upona ipo ama haikushort.
ilete niifanyie check up.

check me on 0715353108
 
nna mpango wa kununua huawei ascend y300 tigo, nataka kuiunlock iwe inatumia laini zote, vp inawezekana?? na ni ho much???
 
Nina Huawei y 300 ilimwagikiwa na maji flash ikawa haiwaki mpaka leo...unaweza kujua tatizo...
 
Blackberry bold 9000 imezima ghafla,inawaka kale kataa kekundu tu,na imegoma kuflash nilipeleka wakaflash ikawa haisomi je,unaweza kuirudisha pumzi?
 
Nina htc one x niliichaji kwa kutumia laptop mpaka asubuhi, nilivyoamka asubuhi kuiwasha ikakataa kuwaka sijui kisa nini.
 
Nina htc one x niliichaji kwa kutumia laptop mpaka asubuhi, nilivyoamka asubuhi kuiwasha ikakataa kuwaka sijui kisa nini.
 

Well ! I would like to share my unlocking experience here . I used unlock code to unlock my Nokia from carrier lock . I have bought code from the provider Unlock-Free.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…