sirleondavid
JF-Expert Member
- Sep 30, 2012
- 377
- 25
- Thread starter
-
- #361
Nipe namba yako nina tatizo na hili iphone langu pia kama unaona haiwezekan kuweka namba plz tieleze office yako ina jina gani pale maana mafundi wengi mno so tusije kudakwa na mafundi pasua na kutuharibia simu zetu
Asante.
Mkuu sirleondavid mimi nina htc one x nahitaji kuiflash, je mnaweza kwa simu za htc. Tafadhari nahitaji jibu
Nna iphone 4 ios 6.1.3 baseband 04.12 mnaweza kuunlock??ni sh ngap?
imetoka nchi gani na ilikua inatumia mtandao gani?
kama hujui send me IMEI number.
hivi ile huduma ya unlocking online bado ipo?
naomba link plz.
nina lg nataka ku unlock.
simu yangu nikipoga hasa ikiwa na laini ya tigo inaandika hivi halafu inakatika
mkuu mm nna nokia lumia 800, ime stuck tu na ukiwasha inaandika nokia tu no more .. hapo vp
Check with me here 0715353108,
Tupo kaariakoo mtaa wa uhuru. Near akiba bank.
mazee matatizo ya cm ni mengi lazima niwatafute.
cm yangu samsung gt 5300 imezingua kuna system program zimepotea.pia inachelewa kuwaka.vp inaweza flashika ikarudi ka mwanzo.na bei gani
Cm yangu sumsung wave 3 nawezwa kuibadili kuwa android
Hapana siwez,
But wave 2 ok