Huna hta namba ya simu..Niko maeneo ya Pugu
Nina kazi kidogo ya kupaka rangi chumba kimoja. Nahitaji fundi wa kufanya kazi hiyo na awe anatoka maeneo ya jirani na Pugu.
Karibuni sana.
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Kweli aise, ahaaaaahaaaaa!Watu wameanza kutii agizo la RC rasmi
Sasa mbona wewe umenipata Mura.Huna hta namba ya simu..
Atakupataje Huyo fundi
Sidhani kama mafundi wanashinda jf..toa namba nimpe kijana asahivi yupo mbagala hapo
Umekurupuka, soma bandiko tena! Pole kwa kuikosa hii kazi Mura.Unahitaji fundi rangi unatangaza nchi nzima wakati kazi yenyewe ni ndogo fundi unaweza kumpata hapohapo kwa wale mafundi walioandika vibanda vyao mchoraji/artist/painter. Sasa fundi wa mbali akiliona hili tangazo la kandarasi gharama ya kumtoa mbali itakuwa kubwa
small area big pressure, is it clear so far?Umekurupuka, soma bandiko tena! Pole kwa kuikosa hii kazi Mura.
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
P = F/Asmall area big pressure, is it clear so far?
Signs of frustration. ThanksP = F/A
Where P = Pressure
F = Force applied to a given area
A = Area upon which the Force is applied
Do you still have any ambiguities?
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Fundi umenipata kama bado piga 0718884670Niko maeneo ya Pugu
Nina kazi kidogo ya kupaka rangi chumba kimoja. Nahitaji fundi wa kufanya kazi hiyo na awe anatoka maeneo ya jirani na Pugu.
Karibuni sana.
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app