Mumlii JF-Expert Member Joined Mar 14, 2021 Posts 266 Reaction score 362 Mar 20, 2025 #1 Habari, Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
Habari, Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.