Wakuu karibuni kwa finishing nzur za nyumba na za kisasa Kama wallpaper ,silkoat ,drewa,decoo,,moulding ,wall panel ,camsilver,wall master ,cotton paint belka ,skiming na rangi za kawaida za nyumba napatikana mbeya call or wasup 0757735884View attachment 1399227
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ramani ya nyumba nimeipenda,inaukubwa gani wa vyumba vyakeWakuu karibuni kwa finishing nzur za nyumba na za kisasa Kama wallpaper ,silkoat ,drewa,decoo,,moulding ,wall panel ,camsilver,wall master ,cotton paint belka ,skiming na rangi za kawaida za nyumba napatikana mbeya call or wasup 0757735884View attachment 1399227
Sent using Jamii Forums mobile app
Inavitatu mkuuHii ramani ya nyumba nimeipenda,inaukubwa gani wa vyumba vyake
Ninafanya kaz kwa bei ya kawaida kulingana na ukubwa wa nyumbaWastani wa bei ya kazi zako kwa nyumba ya kawaida yenye ukubwa wa kawaida!!
Pia inategemeana na nyumba iko katka hali gani maana kuna maandaliz ya kabla ya finishing kufanyika namanisha skimingWastani wa bei ya kazi zako kwa nyumba ya kawaida yenye ukubwa wa kawaida!!
Hii kitu watu wanasema siyo nzuri kwa urembo unaodumu kwa siku nyingi/ Wewe unasemaje?skiming
Huwez kufanya finishing bira skiming haiwezekan kabsa unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha plasta inapigwa kwa kufuata kanuni muhimu plasta ikikosewa na skiming haiwez kudumu hakikisha fund wako wa plasta ana zingatia ratio nzur ya cement na kuweko water proof kwenye msing Kama nyumba ipo kwenye sehemu yenye unyevunyevuHii kitu watu wanasema siyo nzuri kwa urembo unaodumu kwa siku nyingi/ Wewe unasemaje?
Wakuu karibuni kwa finishing nzur za nyumba na za kisasa Kama wallpaper ,silkoat ,drewa,decoo,,moulding ,wall panel ,camsilver,wall master ,cotton paint belka ,skiming na rangi za kawaida za nyumba napatikana mbeya call or wasup 0757735884View attachment 1399227
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ratio nzuri katika plasta inatakiwa iweje?Huwez kufanya finishing bira skiming haiwezekan kabsa unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha plasta inapigwa kwa kufuata kanuni muhimu plasta ikikosewa na skiming haiwez kudumu hakikisha fund wako wa plasta ana zingatia ratio nzur ya cement na kuweko water proof kwenye msing Kama nyumba ipo kwenye sehemu yenye unyevunyevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ratio nzuri katika plasta inatakiwa iweje?
Naikubali sana hii rangi inaitwaje hiyo rangi?Finishing ya nje ya nyumba rangi itumikayo ni weather guardView attachment 1399237
Sent using Jamii Forums mobile app