kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 629
Ngoja nipitie hizo hatua halafu nitaleta mrejesho. Thanks in advance!Taratibu za kiufundi ili power steering ionekane imekufa kuna dalili zifuatazo,
Steering kuwa ngumu
Kusikia mlio au muungurumo katika power yenyewe au steering inakuwa mara laini mara ngumu yaani aieleweki
hatua ya awali ni
Check aidrourick yako kama ni chafu au nyepesi
Pili
Check filter yako kama ni safi au chafu
hatua ya mwisho
Kama yote hayo umeshayafanya na bado steering ni ngumu ndio utakimbila kwenye kufanya service ya kubomoa power yenyewe
Nadhani umenielewa kaka Hamy-D
Dah! Fundi mkuu una mbwembwe wewe.Benz mtoto
View attachment 787624
Wewe tayari siyo fundi..ni mbabaishaji tu...huwezi kuita magari ya watu vitoto vya gari...kumbuka mafundi wengi wanaishi mjini kwa kutenheneza hayo magari unayoyadharau kwa sababu ndiyo mengi na yanamilikiwa na watanzania wengi.humu napata maswali ya vitoto vya gari
Nilifikiri nitakutana na maswali ya hevy machine
Magurus iveco, Peter belit , International, Louis Louis hevy Truck , scania , daf uero 5 , daf xf, nk.
timing beltKuna IST ya shemeji yangu (mme wa dada angu) ukiiendesha steering inakuwa ngumu siyo mara zote ila ni mara kwa mara ukiwa unakata kona kwenda kushoto, tatizo laweza kuwa nini?
Peter belit -*peter bilt*humu napata maswali ya vitoto vya gari
Nilifikiri nitakutana na maswali ya hevy machine
Magurus iveco, Peter belit , International, Louis Louis hevy Truck , scania , daf uero 5 , daf xf, nk.
Wewe tayari siyo fundi..ni mbabaishaji tu...huwezi kuita magari ya watu vitoto vya gari...kumbuka mafundi wengi wanaishi mjini kwa kutenheneza hayo magari unayoyadharau kwa sababu ndiyo mengi na yanamilikiwa na watanzania wengi.
kila la heri fundi.
Peter belit -*peter bilt*
DAF XF inaweza kuwa euro 5 inategemea imekuwa manufactured mwaka gani japo we umeonesha daf xf ni tofauti na daf euro 5
Kwa mkanganyiko huo ufundi wako unatia mashaka kidogo lakini yote kwa yote kazi njema
Ni Hydraulic.Taratibu za kiufundi ili power steering ionekane imekufa kuna dalili zifuatazo,
Steering kuwa ngumu
Kusikia mlio au muungurumo katika power yenyewe au steering inakuwa mara laini mara ngumu yaani aieleweki
hatua ya awali ni
Check aidrourick yako kama ni chafu au nyepesi
Pili
Check filter yako kama ni safi au chafu
hatua ya mwisho
Kama yote hayo umeshayafanya na bado steering ni ngumu ndio utakimbila kwenye kufanya service ya kubomoa power yenyewe
Nadhani umenielewa kaka Hamy-D
Kuna IST ya shemeji yangu (mme wa dada angu) ukiiendesha steering inakuwa ngumu siyo mara zote ila ni mara kwa mara ukiwa unakata kona kwenda kushoto, tatizo laweza kuwa nini?
Jamani hebu kuweni serious, msiharibu hili jukwaa, tumelipigania sana hadi kuwekwa humu.timing belt