Fundi mzuri wa kupaua nyumba

Fundi mzuri wa kupaua nyumba

papa yna

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
55
Reaction score
16
Natafuta fundi pande za Moro wa kupaua nyumba yangu iliyoko kihonda Morogoro kwa bati za kawaid chapa kiboko. Ukubwa nyumba vyumba vitano na sebule.
 
natafuta fundi pande za moro wa kupaua nyumba yangu iliyoko kihonda morogoro kwa bati za kawaid chapa kiboko. Ukubwa nyumba vyumba 5 na sebule.

Kunavija watatu wachukua ktoka Ifakara nikawapeleka Dar kunipaulia nyumba yangu, huwezi kuamini kama wanatoka kijijni, kazi wanaijua na bei yao ilikuwa very reasonable

Ukiwahitaji ni pm
 
usihangaike mimi nipo Morogoro na napaua kwa kutumia computer. ni-pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom