Hebu jaribu kuelezea kidogo zinatatizo gani specieficaly.? i.e Haziwaki, zinazima, zimekufa display. Hii ni kwa msaada tuu ili uweze funguliwa macho kuhusu bei, tatizo laweza kuwa ni nini na prediction za cost zake kwani humu wanapita watu wenye uelewa wa vitu mbalimbali.