Enginier JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 276 Reaction score 36 Jul 17, 2015 #1 Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni
Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni
J Jayb8989 Senior Member Joined Jul 16, 2015 Posts 169 Reaction score 48 Jul 17, 2015 #2 Umeiona wapi hyo milango ya kichina jeshini tupia picha tuione
Enginier JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 276 Reaction score 36 Jul 17, 2015 Thread starter #3 Wengine wanaiita ya kichina wengine wanaiita ya jeshini Sio yakichina jeshini
Enginier JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 276 Reaction score 36 Jul 17, 2015 Thread starter #4 Picha hiyo hapo Attachments 1437153401562.jpg 31.3 KB · Views: 617
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Jul 17, 2015 #5 Ni wewe Wang'wise nimjuaje mimi wa khm au huyu ni mwingine Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
V victor kilauo Member Joined Nov 9, 2012 Posts 37 Reaction score 7 Jul 17, 2015 #6 Asulo said: Ni wewe Wang'wise nimjuaje mimi wa khm au huyu ni mwingine Click to expand... Inapatikana wapi hii milango wanajamvi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asulo said: Ni wewe Wang'wise nimjuaje mimi wa khm au huyu ni mwingine Click to expand... Inapatikana wapi hii milango wanajamvi?
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,551 Jul 20, 2015 #7 Halifax wanayo
Enginier JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 276 Reaction score 36 Jul 20, 2015 Thread starter #8 Hansdoors pia wanayo
headson Member Joined Jan 25, 2014 Posts 16 Reaction score 5 Feb 20, 2018 #9 Wang'wise said: Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni Click to expand... Naomba na mimi unisaidie Namba za huyo fundi nina mlango wangu umenitoa jasho.wezi waliuharibu sasa imeshindwa kuwa sawa.naomba namba za huyo fundi nami nimtumie.No zangu 0653670252
Wang'wise said: Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni Click to expand... Naomba na mimi unisaidie Namba za huyo fundi nina mlango wangu umenitoa jasho.wezi waliuharibu sasa imeshindwa kuwa sawa.naomba namba za huyo fundi nami nimtumie.No zangu 0653670252