D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,702 Mar 8, 2013 #21 Baba Sharon said: We tutake radhi watu wa Pasua chaliii...............Pasua hakunaga garage mpaka upande Boma ya Mbuzi ile ya Mohamed Sadiki Click to expand... hahahah nimefuta kauli yangu. sorry mkuu
Baba Sharon said: We tutake radhi watu wa Pasua chaliii...............Pasua hakunaga garage mpaka upande Boma ya Mbuzi ile ya Mohamed Sadiki Click to expand... hahahah nimefuta kauli yangu. sorry mkuu
Baba Sharon JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 372 Reaction score 257 Mar 8, 2013 #22 ray05 said: hahahah nimefuta kauli yangu. sorry mkuu Click to expand... Kaka kule ndo kitaa...................unapafahamu vizuri lakini?Naambiwa kumepoa sana si kama zamani na ule uhuni umekwisha kabisa
ray05 said: hahahah nimefuta kauli yangu. sorry mkuu Click to expand... Kaka kule ndo kitaa...................unapafahamu vizuri lakini?Naambiwa kumepoa sana si kama zamani na ule uhuni umekwisha kabisa
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,702 Mar 8, 2013 #23 Baba Sharon said: Kaka kule ndo kitaa...................unapafahamu vizuri lakini?Naambiwa kumepoa sana si kama zamani na ule uhuni umekwisha kabisa Click to expand... nakupata sana..hadi mabogini kuna washkaji zangu. of coz kumepoa sio kama zamani ilikuwa ukisikia njoro au pasua unaogopa. nimemiss soko la mbuyuni
Baba Sharon said: Kaka kule ndo kitaa...................unapafahamu vizuri lakini?Naambiwa kumepoa sana si kama zamani na ule uhuni umekwisha kabisa Click to expand... nakupata sana..hadi mabogini kuna washkaji zangu. of coz kumepoa sio kama zamani ilikuwa ukisikia njoro au pasua unaogopa. nimemiss soko la mbuyuni
mika kati Senior Member Joined Dec 2, 2012 Posts 135 Reaction score 44 Mar 8, 2013 #24 Huo wote ni mkwara,alafu eti MTAMBUZI aje kuichukua gari yake aikute tayari kisha amwambie PESA YAKO KESHO LEO SINA KITU.
Huo wote ni mkwara,alafu eti MTAMBUZI aje kuichukua gari yake aikute tayari kisha amwambie PESA YAKO KESHO LEO SINA KITU.