Fundi bora kabisa wa Tiles..

Fundi bora kabisa wa Tiles..

Samjela Jr

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
50
Reaction score
14
Kwa mahitaji ya fundi tiles usisite kunitafuta....
Nyumba yako Fahari yako ifanye iwe ya tofauti kwenye sekta ya Tiles....

0676 214 974 WhatsApp
0714 122 011 Call/txt

Karibu tukuhudumie
FB_IMG_15808114431033252.jpeg
FB_IMG_15712563635700175.jpeg
FB_IMG_15808083295517798.jpeg
FB_IMG_15764298429290808.jpeg
FB_IMG_15808081511290016.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ni makubaliano baina ya mimi na wewe boss hvyo nafikiri isingependeza kuwa wazi kabisa maana hakuna bei elekezi kwenye kazi zetu hizi boss wangu....
bei inalingana na eneo la kaz na changamoto zake za hapa na pale...
kwamaana hiyo ingekuwa vizuri kama Ungenitafuta kwa mawasiliano yangu hayo mkuu...
Tafadhari sana

#NyumbaYakoFahariYako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini nikutoe hofu na shaka tuu boss...
Bei zetu ni nafuu mnooo ukilinganisha na Ushauri utakaopata ili nyumba yako iwe tofaut kidogo...
Ukilinganisha na uaminifu wetu...
Ukilinganisha na usafi narudia tena usafi kaz nyingi zinaonekana sio nzuri kwasababu ya uchafu kunauchafu ni ngumu sana kutoka baada ya muda huvyo ni vyema fundi akawa makini katika ujenzi wake na usafishaji wake mapema....
uchafu kidogo unaweza ukakufanya uchukie nyumba yako yote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom