BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
WanaJF,
Natafuta fundi au kampuni inayotengeneza makabati ya nguo yanayo jengewa ndani ya nyumba.
Je, unafahamu kampuni inatengeneza makabati imara?
Picha zake unaweza kuzionyesha hapa? wana tovuti pia uirushe hapa nipate kuperuzi bidhaa na kazi zao.
Gharama siyo tatizo kama fundi au kampuni inafanya kazi bora, bidhaa imara na kuaminika.
Shukrani..!