pengine ni kile ki usb tu, kakibadili sema inabidi uwe makini maana mafundi wakibadili wana tabia ya kuconect pin mbili za kuchaji na pin za data wanaziacha, wakifanya hivyo simu yako ukiiconect na pc hautaweza hamisha mafile.
gharama yake ni kama 10,000 hivi bila ufundi na almost mafundi wote wanajua kuvibadili, ni kuchomelea tu