Katika maisha, bila kujali ukubwa wa Elimu yako kitu kizuri ni udadisi na uchunguzi. Nimechemsha bongo langu nimepata sentence ifuatayo;
Baada ya JOB tunakunywa POMBE. Tukigombana basi tunaomba SULUHU ,tusipoelewana basi tuna TULIA ,kusubiri MAJALIWA. 😉😀