Habari nyote,
Napenda kuwakaribisha kwa huduma zetu,tunapulizia dawa za kuuwa wadudu warukao na watambaao,majumbani na maofisini.Huu ni muda mzuri kuangamiza haswa mbu ukichukulia ugonjwa wa dengue unaenezwa na mbu.Utaratibu wetu ni kuwa baada ya kuwasiliana nasi tunakuja kufanya survey na kukupa makadirio ya bei kulingana na eneo husika.
Karibuni sana
Unaweza kuni pm kwa mawasiliano yoyote