Je una tatizo la wadudu warukao na watambaao?
Je mbu wanakusumbua sana?
Je una mchwa ambao wanasumbua?
Je mende wamekuzidia ,jikoni na vyooni?
Je una tatizo la panya?
Je eneo lako la kazi au nyumbani unasumbuliwa na nyoka ,ng'e ,tandu?
Sisi ni kampuni ya upuliziaji madawa iitwayo PROPEST TANZANIA LTD.Tunaangamiza wadudu wote warukao na watambaao.Kama ni nyumbani ,shambani au eneo la ofisi ,kote tunaweza kukupatia huduma.
Hatua za kufuata:
1.Tufahamishe tatizo lako na eneo lilipo
2.Tutakuja kuangalia na kukupatia bei na maelezo zaidi.
3.Tutafanya kazi
4.Malipo
Makadirio ya bei yatategemea aina ya tatizo,ukubwa wa aneo la nje,na ukubwa wa nyumba.
Karibuni